New Lyrics

Ssaru – Nimerudi Tena Lyrics

Ssaru - Nimerudi Tena Lyrics
Ssaru – Nimerudi Tena Lyrics

Ssaru – Nimerudi Tena Lyrics Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema
Ju venye nahema si mnajua kitu nimepewa
Naskia mnasema ati SSaru anapenda kupewa
Ka we ni wa JUja ukipewa lazima utapenya

Alafu nacheki supporti inakuja kwa wingi
Thankyou bana
Madem kibao mamorio wamembao
Nataka hii kitu sana

Na venye nacheki tukiendelea hivi
Nitasema Yes Bana, Yes bana
Morio leta biringanya bana
Nilikuwa nwashow hizi ni mistari
Me sipendi hii kitu sana

Ka cheki nitaboo, nita dissapoint
Mamorio wanapenda vagina
Ako wapi ZZero utufanyie collabo
Moja enye itawachanganya

Akam na mandom tuchafue flow
Tukiwa mamoshgi bana, moto sana
Utadhani ndani kuna burnsen burner
Nawanga mchana usiku nakesha

Nikichoma mashada ogopa bana
Ju mi ukinidiss tunakosana
Mi ni mtoto sana utaenda Kamiti
Ukishikwa na banger

Me najidai stakabathi nimebeba
Utadhani ni ndae me niko fly
Me sina deni lakini bado unanidai

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button