Nandy Ft Harmonize – Acha Lizame lyrics
Nandy Ft Harmonize – Acha Lizame lyrics Nirusuru chuku chuku
Ni sasa umole
Mi naning’inia
Kwa marati nipopoe
Niruchu nipe tena baba niue
Mi nakuzimia
Usizingue unisumbue wewe
Mapenzi yetu
Ni ya mimi na wewe tu
Usiskize watu
Wananyongwa mbaya
Basi nifanyie kitu na boxy
Usiku nipe shoti
Ama ishike magoti
Nilemshe mkomboti
Ooh ah mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy
Ooh ukienda zako mi nitanyong’onyea
Ooh ah mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy
Ooh ukienda zako mi nitanyong’onyea
Acha lizame
Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame
Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame
Unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame eeh
Mama unafanya tembo
Kutwa nadindisha mkonga
We ndo kiboko ya warembo
Wale wanaojipitisha kitonga
Penye dhiki na shuruba
Mikeko ndo ulinikumbata
Piki piki upande Ubber
Popote nilipo ukanifwata
Lakini bado wananiita mzugaji, nilingojea
Usingizi hata yako mahitaji, nilingojea
Sina biashara mtaji, nilingojea
Ulisema mola ndo mpaaji, nilingojea
Ooooh bana nipande tumwage mbolea
Baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea
Oh oh ooh
shamba mwaga maji nimwage mbolea
My baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea
Acha lizame
Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame
Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame
Unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame eeh
Whine nimekuuliza
Bora ningejitengea oh nana
Me ndio napendaga giza giza kama ujanizoea
Pana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Asa whine nimekuuliza
Bora ningejitengea Konde Boy