Mbosso – Tamba Magufuli Lyrics
Mbosso – Tamba Magufuli Lyrics Mambo yamepamba moto
CCM chama number one
Kwetu si maneno hapa kazi .
Wapinzani tumbo joto
Kila sehemu wako taabani
Ushindi kwa Magu wazi wazi
Ye nuru sawia uamuzi sifa yake
Uhuru kapinga ubaguzi kwa wanawake
Ye na wala mbuzi hawana chake
Vigeregere viruzi na shangwe kwake
Fungeni maturubai, mkeshe mkisema
Wala hamtupii shida, mkeshe mkisema
CCM twajidai, mkeshe mkisema
Kwetu ushindi kawaida, ooh ooh
Tena Magufuli amekuja na tiba sindano
Acha wateseke
Anachapa kazi baba ye hana mfano
Acha wateseke
Tena ngangari hodari wa mapambano
Acha wateseke
Na tuko na wewe baba mpaka mbili ishirini na tano
Acha wateseke
Tamba Tamba
Tumekupa uwanja tamba
Tamba Tamba
Warushe warushike roho zao
Tamba Tamba
Wenye majipu watumbue leo
Tamba Tamba
Tamba baba nawe
Twaomba akulinde Mungu
Dua zetu sie
Fly Over kama kwa wazungu
Na ndege zetu sie
Na hujatugawa mafungu
Yule na mie
Taifa moja sote kama ndugu
Acha kura tukupatie
Umepambana na Tsunami
La corona lilipoingia
Ni amani kote sasa
Rushwa na unyang’anyi
Tinga tinga umesagia
Mafisadi wote msasa
Hili ndo chama changu nimezama mazima, CCM
Dar ndo jiji langu makonda na lidima, CCM
Makamo wa rais wangu Mama Samia Lima, CCM
Majaliwa waziri wangu katakata mashina, CCM
Fungeni maturubai, mkeshe mkisema
Wala hamtupii shida, mkeshe mkisema
CCM twajidai, mkeshe mkisema
Kwetu ushindi kawaida, ooh ooh
Tena Magufuli amekuja na tiba sindano
Acha wateseke
Anachapa kazi baba ye hana mfano
Acha wateseke
Tena ngangari hodari wa mapambano
Acha wateseke
Na tuko na wewe baba mpaka mbili ishirini na tano
Acha wateseke
Tamba Tamba
Tumekupa uwanja tamba
Tamba Tamba
Warushe warushike roho zao
Tamba Tamba
Wenye majipu watumbue leo
Tamba Tamba
Tamba baba nawe
Tushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijua
Tushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijua
Tushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijua
Lalala lala lalaaaa