DADDY OWEN – Narejea Kwako Lyrics

DADDY OWEN - Narejea Kwako Lyrics
DADDY OWEN – Narejea Kwako Lyrics

DADDY OWEN – Narejea Kwako Lyrics. Narejea kwako, Narejea kwako
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako

Niambie, Niambie
Unanipenda tena
Nionyeshe njia zako
Nisipotee tena
Magonjwa na janga la nzige
Zimeshafika kenya
Nipe ishara zako nijue
Unanipenda tena

Ulisema unanena kwa ndoto
Na ndua langu, utajibu kwa moto
Ni mtihani mtihani
Juu nimekosa amani
Mambo yako yanichemsha bongo

Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako, tuwe marafiki tena

Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time

Nisamehe makosa yangu niliyotenda
Unionyeshe mafumbo ndio kwako niwe chombo
Nifundishe kutenda mambo unayopenda
Kwako niwe manukato
Uwe wangu niwe wako

Laana za mababu
Isikue ndio adhabu yangu
(Nisamehe, nisamehe)
Nionyeshe maajabu
Uniweke kwa hesabu yako
(Nisamehe nisamehe)

Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea narejea , narejea narejea
Narejea kwako , tuwe marafiki tena
Narejea kwako , nipokee nilivyo baba
Narejea kwako, niwe marafiki na wewe
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako

Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button