Billnass – Deka lyrics
Billnass – Deka lyrics Uuuh uuh
Yeah Yeaah
Hehe S2Kizzy on the scene
Ooh
(My dete tuma tuye
My dete tuma tuye)
Oh nakuvizia tukeshe nasubilia tutete
Nakuvisia tusepe napulizia Mtete
Watakususia mkweche Nitakuzugia na pete
Si unajua vile mi niko hoi hali tete
Wapo walosema kwamba sipigi show
I wish you know wasikushawishi doo
Habari zao zakua, sitishi hivyo
Charge empty kila suka yani baterry low
Aah leo una vibe tukale fresh juice
Mi mgonjwwa we tabibu njo unitibu one stress nice
Nitakuwa mjinga niki messi messi
Ulikua nami toka sina kitu
enzi napiga deshi deshi
Me sijaambiwa nikwambie
Ila moyo utani-tetereka
Ukiwa mbali na mie
Upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh baby
Tekuma tekuma deka
Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Tekuma tekuma deka
Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Aaah don’t let them fool you (fool you)
Kisa umenipenda mimi huyu (huyu)
Mapenzi ya dhati na hiisa ulikwa nayo toka kitambo
Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango
Since day one niko na plan kichwai
Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani
Why so utani wife waku vibe kanisani
Sio yule wife wa stamina alisepa nyumbani
Mapenzi ni yetu yetu, na sisi kiviyetu vyetu
Yani kama chuga baridi yetu yetu
Me sijaambiwa nikwambie
Ila moyo utani-tetereka
Ukiwa mbali na mie
Upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie, hiko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh baby
Tekuma tekuma deka
Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Tekuma tekuma deka
Tekuma tekuma deka (Deka ukiwa na mimi tu)
Oooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu)
Oooh ooh (Deka ukiwa na mimi tu)