Alikiba – So Hot lyrics
Alikiba – So Hot lyrics Eeh kama bahati sananga awe
Nimeipata kwako baby (baby)
Usinichukulie poa, mama jiteteo baby
Nimtii mwema nipigwe mawe
Sababu yako baby (baby)
Mapinzano yananichora na me naona
Nimelipata Nimekwisha haina utata
Kwa kubisha uje uchukue mapipa
Tule bata delisha
Haina majoto haina
Tukule mafoto Kenya
Nikuvishe pete final
Baby uwe wamoto, wamoto
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot
Dunia we ndyo pepe nataka
We ni nguni wa mapenzi sina shaka
Kaka shemeji ushapata
Wife material no hajayatalaka
Tunao tunao
Wacha wapige domo tunao
Si wabaki promo hao
Wataliachana nao
Naumelipata Nimekwisha
Haina utata kubisha
Uje tukue mapipa
Tule bata delisha
Haina majoto haina
Tutwange mafoto Kenya
Nikuvishe pete final
Baby we wamoto, wamoto ooh
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot
Ooh no!
Kwenye akili yangu
Baby unitawale unitawale
Kwenye maisha yangu
Wema litawale itawale iyee
We chango langu
We unashinda wale, we unashinda wale
We ndyo macho langu leo naona
You are so hot
You are so hot
You are hot
You are so hot